Usiwasikilize mdogo wangu.
Usiwasikilize kabisa. Nguo zako ni zuri ,zinakupendeza,zinaendana na mwili wako.
Nguo za kisasa sio lazima ziwe suruali za kuchanwa chanwa kama niliyovaa dada yako leo, watu wamekariri tuu.
Wewe haujaona kila picha uliyoituma imetisha?
Hao wanaokuona mbibi wamekariri tuu hawajui kitu.