Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,380
Tumehangaikaaa weeee[emoji2][emoji2][emoji2]haya bwana ukijua kuhesabu oesa inatosha!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
a. Weka mapicha ya safariniNa bado mapicha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chagua:
a.Niweke mapicha
b.Unaweka mguu niliowahi kuunadi likesnikani
I'm good Saguda, how's you?Depal, how are you my beautiful friend?
Nakuona 🤣🤣🤣🤣Nipo hapa D
Itakuwa ni kama!! Ila sio shule hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo madirisha km shule fulan kongwe ya serikali, nlisoma hapo O level, mweeeeh
Nmekumbka mbali sana.
Jibu ni ba. Weka mapicha ya safarini
Jioni nitakuwa mjini napiga vyomboSee you there [emoji847]
Uko na rangi nzuriKilikuwa kinywaji pendwa [emoji1635] mpaka siku kiliponipa hangover ya kuniua [emoji23]
Black ice mnyama anayeuma huku anapuliza. View attachment 2013418
I'm okay, am so glad to say hi to you nice "toto"I'm good Saguda, how's you?
At some point, huwa naamini kuiweza Maths ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine.[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana..sijawahi acha Maths nikiikwepa imejaa...baasi naishi nayo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Viete..
Nifurahishe na mimi basi kwa kapicha kamoja full bila emoji 😉I'm okay, am so glad to say hi to you nice "toto"
[emoji1][emoji1][emoji2]somo rahisi kuliko yooote ktk uso wa ardhi kiswahiliNikikumbuka Oliver zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
Worry out[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hivi uko serious inabidi nkutumie picha yangu full aseeh!ila mi ni mzee sanaYaani sijui hata nilikuwa nawaza wapi[emoji1787]
Naomba niitumie ile picha ya Sketi ya marinda kama Avatar yangu pls.
Haha vieite ya Humphrey [emoji23] ujage daslamu uchukue mmojaViete..
Utuletee zawadi za vyuku + alizeti
Chaaaaa! Yaani nitume kavukavu? Pekupeku?Nifurahishe na mimi basi kwa kapicha kamoja full bila emoji [emoji6]
Madam kama madamWorry out[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hivi uko serious inabidi nkutumie picha yangu full aseeh!ila mi ni mzee sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
PoleniLinawatoa jasho kufunga spare Tyre [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2018785