Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,569
- 235,410
Taa zinasaidia kupunguza hatari za ajali.Sema hizo taa zikizidi hio foleni yake itakua sio ya nchi hii maana barabara kwa mbeya bado sana aise
Aise mbeya jioni panafoleni sanaTaa zinasaidia kupunguza hatari za ajali.
Halafu haziwezi kuleta foleni maana licha ya kwamba tuna barabara moja lakini hakuna msongamano wa magari mengi.
Mfano pale Meta pamekaa vibaya mno.
Not to that extent.Aise mbeya jioni panafoleni sana
Labda mimi nina bahati mbaya nayo maana kila nikipita naikuta kwa hio siku hizi napita asubuhi sanaNot to that extent.
Ipo ya kawaida mno na labda iwe kuna gari imeroga njiani.
Unapita route ya wapi mkuu??Labda mimi nina bahati mbaya nayo maana kila nikipita naikuta kwa hio siku hizi napita asubuhi sana
Nikitoka tunduma kama naenda Dar ratiba hapo ni usiku au asubuhi sanaUnapita route ya wapi mkuu??
Uyole_skuu
Mwanjelwa_Mbalizi
AU Skuu_mbalizi?
Ni vile tu unakuwa umechoka,ila Mbeya sijawahi kushuhudia foleni ya kutisha.Nikitoka tunduma kama naenda Dar ratiba hapo ni usiku au asubuhi sana
Kuna pale kwenye stand ya vibajaji kuna mda vinaweka foleniNi vile tu unakuwa umechoka,ila Mbeya sijawahi kushuhudia foleni ya kutisha.
Sema haki ya Mama 😜😜Bia hazijawahi nikolea kichwani,
Labda Kama mna toleo jipya ambalo sijawahi kunywa.
Haha hapa ni Sangu Sec? Hivi kuna shule huko mbeya inatandika wanafunzi mikwaju kama Swila Sec?billdrago hujamiss fimbo za Mwambene za getini?[emoji38]View attachment 2017710View attachment 2017711View attachment 2017714
Swila hakuna fimbo za kuogopesha mbona.Haha Hapa ni Sangu Sec? Hivi kuna shule Mbeya inatandika wanafunzi mikwaju kama Swila Sec?
AkiyananiSema haki ya Mama [emoji12][emoji12]
Welcome to the club [emoji1635]
Kuna watu ukiwaambia deep state watajua series [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mimi manzi yangu eti hawezi kula kale kamgongo kakuku anahisi ni mndukuLina damu?
Virginity ya kwio ina utata kwakuwa tobo hilohilo moja linatumika multiple
Uzazi
Mapenzi
Haja kubwa
Haja ndogo...
Yai ni product ya kukutana kimwili! Sasa haliwezi kuwa ndio limefungua njia.[emoji23]
Mnamfukuza kocha au mmehairisha? 😂
Acha kwanza nilewe nitakujibuMnamfukuza kocha au mmehairisha? [emoji23]