Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee umenifanya nikumbuke ulichoniambie siku ile kwenye uzi wa Nyanyere.

Keep it real girl.. More admiration to you
 
African kwiini..
Usitubanie pics bhana.

Unapendezea kweli kwenye hizi African attires!!
Akhsante

Tumekumbukwa waafrika

Mbona wewe pics zako unabania ila zangu unataka niachie zote.
Jana umenichezea mchezo mbaya na picha lako la mzungu pale juu
 
Akhsante

Tumekumbukwa waafrika

Mbona wewe pics zako unabania ila zangu unataka niachie zote.
Jana umenichezea mchezo mbaya na picha lako la mzungu pale juu
Aisee mimi picha zangu nilizotuma nafikiri zinatosha.

Nikisema nitume zaidi na zaidi ntakuwa napunguza uhuru wangu wa kuchangia baadhi ya mada humu.
 
Manipulated? Hivi kwanini wanaume wengi mnaona kama kuwa fair kwa wanawake ni kuwa manipulated?
Unajua hili suala la kuwa fair kwa mwanamke ndio limepelekea leo hii tunaishi kwenye gynocentric society.

Maana Kwa mwanamke neno fair lina maana ya zaidi ya fair. It's kinda one-sided advantageous shiit, as a red piller i take it as manipulation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…