Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku nikiweka kapicha kangu humu, jiandae kutoka JF kabisa
Ndio waone sasa jinsi ilivyo rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko HS kuweka selfie[emoji38].

Hivi bado watu hawaoni tu kama kujitoa mimi jf haiwezekani!
Hivyohivyo HS kuweka picha yake.


Tuendelee kumtazamia Bwana wapendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angenishinda kwa sababu ya mchuzi, ila akiwa mkavu; unafanya kunitengea wawili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…