Niliwahi ishi hiyo mitaa miaka ya nyuma kidogo hapo Loleza kwa hiyo napafahamu vizuri mno hapo mjini na viunga vyake vyote.
Kwa hela gani niliyonayo niishi uzunguni?
Nilikuwa na issues zangu tu huko hapo Rufaa,ndio nikatembea hadi Retco maana nilitaka kupita pia Babito.
View attachment 2014063