Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Linapiga hadi utosiniHahahaha![]()
Linapiga hadi utosiniHahahaha![]()


Boss baby ? ... Umenifanya nismile jamani huo uboss baby nautoleaa wapi mimi ?Thank you boss baby![]()

Kweli kabisa ...Kuna dada wanajua kujali hadi unamshukuru Mungu kwa baraka hizo.
Hili jina si tulishakubaliana tusilitimie eti?Dah nilikuwa muanzisha nyimbo maarufu kwenye mchaka mchaka.
Tena huo una hadi verse ya 2,ya mwezi nao uteremke mamaa
Hivi Eli79 unaniona mimi mdogo sana eeh?![]()

Sasa Eli79 unataka tukuitaje?Hili jina si tulishakubaliana tusilitimie eti?![]()

Kweli kabisa ...
Mungu awabariki wadada zetu nimetokea familia ya ke tupu , sisters for life .


Huyu dada kwa kunipa vitu namkubali,,hapo amenigawia na tugauni tuzuri twa kibinti..
Yaani sijawahi kwenda kwake nikatoka mikono mitupu.
Mimi namshukuru Mungu ke tupo wengi,ila nimebahatika kaka wawili tu ambao ndio nimefuatana nao.
Uzao wetu umekuwa vise versa,dada zangu wote wanazaa watoto wa kiume tu,na kaka yangu ana mtoto wa kike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo!
Ngoja amalize ku-hack watu wake anakuja 🙂
Niko poa/salama kabisaNgoja amalize ku-hack watu wake anakuja
Kabisa!!!Sijui kwako...
😃😃😃Ulienda felo au Uwata girls anyway nilikuwa hapa leo
Nilienda fellow iliyopo hapo skuli.
Kwa hiyo umesign In tiali ama??Nilienda fellow iliyopo hapo skuli.
Hahah!unanikumbusha mbali.