cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,303
- 187,961
[emoji7][emoji7][emoji7] dea.
[emoji7][emoji7][emoji7] dea.
[emoji23][emoji23][emoji23] nilichelewa kuanza shule eti,Uwe unatusalimia dada zako, kumbe mdogo [emoji6]
Afu pametulia naimagine hako kaupepo dah!!!!
Ulikuwa la ngapi hiyo miaka?Yaan wee 4m 4 n 2013 au 2014,huruki hapo. Bisha? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli eeh dogo?Tubadilishane rangi cc, seriouz kungekua na mkorogo wa kuwa rangi km yako,wallah ningetumiaa kwa gharama yeyote.
Kweli eeh dogo?
Uwe unapakaa mafuta yale ya nywele mwilini ,yanaitwa black kuza.
Utakuwa ka Black matata hadi utapenda.
[emoji3059]Mount SinaiView attachment 2012122
Coming from where Nabii Mussa (A.s) was given the ten commandments.
Tumuombe mola atujaalie tuzikamilishe na kuzifuata maana dunia ya sasa siyo.
Nzuri Lee,hujambo?Habari ya masiku mengi
Nzuri Lee,hujambo?
Nakusalimu kwa jina la Selfika..
Wewe jibu hivi"picha ziendelee "huku unatupia kaselfie kako kamoja[emoji39]
Sasa mbona hujaweka ?Na kweli picha ziendeleeeeee
Sasa mbona hujaweka ?
Tena hapo ndio pazuri sasa kuselfikia[emoji39]Bado niko kwa bed [emoji932]
Amin!View attachment 2012122
Coming from where Nabii Mussa (A.s) was given the ten commandments.
Tumuombe mola atujaalie tuzikamilishe na kuzifuata maana dunia ya sasa siyo.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2010709
[emoji23]dahh!niamkie yaani weee nakuzaa huku nagombea gari za Mbezi
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa n mbali hapo unaona? Mie nlichelewa kuanza shule, ilibid 4m 4 nitoke 2012.Na wa 2009 tusemeje Kama we 2016 unaona mbali...?
Thubutuuu yako wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahh!niamkie yaani weee nakuzaa huku nagombea gari za Mbezi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] subiri baas ntaanza kufanya hivyo.Kweli eeh dogo?
Uwe unapakaa mafuta yale meusi ya nywele mwilini ,yanaitwa black kuza.
Utakuwa ka Black matata hadi utapenda.