T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,092
- 30,495
Unajificha/ziba mno Lizzy
Unajificha/ziba mno Lizzy
Long lives in sha Allah
Thank you Lizzy wangu mpenda nyamnyamHappiest birthday to you mwaya. [emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Have a good one Scorpio mwenzie dogo [emoji846]
Thanks much muchHeri ya siku yako ya kuzaliwa Anjela
Nimetafuta nimezikosa,Hapana si kweli mkuu
Thank you boss baby [emoji4]Happy birthday beautiful [emoji324]
Kuna dada wanajua kujali hadi unamshukuru Mungu kwa baraka hizo.Indeed wonderful
Kutoka Uyole Mbeya Tanzania.Rangi ya kinyakyusa kabisa
[emoji2][emoji2][emoji2]Mhh, bado sentensi tatat nyingi, hapa kinachoombwa 'uchi' ni picha au nini😀 na uchi wa sehemu gani hahaha, duh
Mweee!
Nimemiss Bahi.Katikati ya Dodoma na Bahi .View attachment 2010826
Daslam,Mbona hizi nyuzo joto hazisadifu ninachokiona? Guys kunywa maji na vyakula vya majimaji kwa wingi zaidi, tujihadhari na nyoka asee!View attachment 2011365
Thank u rafiki.Happy birthday, ulipotea sana mkuu
Jua lile literemke mamaa....! Unaukumbuka huo wimbo? Hilo sasa limeteremka[emoji23]Kweli joto limeongezeka.
Ajabu hadi Mbeya kuna joto.View attachment 2011617
Aiyaya iya iya mama[emoji23][emoji23][emoji23]Jua lile literemke mamaa....! Unaukumbuka huo wimbo? Hilo sasa limeteremka[emoji23]
Huyu wa juzi anakumbuka vipi nyimbo za miaka hiyo[emoji23]Jua lile literemke mamaa....! Unaukumbuka huo wimbo? Hilo sasa limeteremka[emoji23]
Dah nilikuwa muanzisha nyimbo maarufu kwenye mchaka mchaka[emoji23].Huyu wa juzi anakumbuka vipi nyimbo za miaka hiyo[emoji23]