Sina dogi, lakini gs nawakubali sana kwanza wapo intelligent, halafu hawaogopi no matter what, usikivu na uwezo wa kunusa ni next level, wanapenda kuwinda kutembea hata kwa umbali, easily trainable, wanapenda sana watoto, na watakulinda mbele ya hatari yeyote ni moja breed naiubali sana ukiacha wale rottweiler...
Ningekua nae leo angekula sana nyama
View attachment 2009058