Nyepesi sana, halafu zinapauka kichizi, kuna mdogo wangu aliniletea Cadeth toka UG zipo good sana, nzito halafu hazipauki... lakini ndio hivyo tunaishi nazo kibingwa..
Ukiacha unga ujishike kwa muda kabla ya kusukuma ,zinalainika na kuchambukaZinaonekana lainii na tamuu
Njoo mbezi kesho stand ya magufuli ,utanikuta hapo darajaniuna nn Leo wee?
Wee beer kitu gan bhanaah, weka makazi yako safi familia yako wajivunie uwepo wako, mbna kazi ishaisha hapo, hata uktak kuweka ubavu humo mbna fresh tyuuh, mtu chake bhana.Wanasemaga ujenzi wa masikini hauishi, ngoja tujinyime kula beer, naona finishing inanitoa roho..
View attachment 2008371
Na zimechambuka vizurii😍, aki tungekaa nyumba moja kila siku ningekubembeleza unipikie😂 napenda sana chapati.Ukiacha unga ujishike kwa muda kabla ya kusukuma ,zinalainika na kuchambukaView attachment 2008372View attachment 2008373
Duuuh poleeeh dea, endelea kujaribu utaweza tyuuh.Bana wee me naona labda damu zetu haziendani, yaani zinanikataa mchana kweupee
Na mimi nipo tayari hata kupika chapati Mia.Na zimechambuka vizurii, aki tungekaa nyumba moja kila siku ningekubembeleza unipikienapenda sana chapati.
Nitazijaribu week ijayo labda, nimepata kitu kipya hapo
Hapana mie sivai, ila kna mtu ndo aliwahi niombaa nmsaidie kufua, nlimuambiaa stak hata kuziona,Ni fake, wewe unavaa cadeth?
Hahaa kwel tunatofautiana daah, chapati ya maji ilivyo simple vile😅Na mimi nipo tayari hata kupika chapati Mia.
Kila mtu aseme tu idadi anayokula.
Tukiwaga tumejikusanya home wote,nilikuwa napika hata chapati 50.
Ajabu chapati ya maji inanipiga chenga hadi leo,na nishaachana na habari za chapati za maji
😅😅😅 asanteee
Hizo nilishajaribu,nikatoa shepu undefined,Hahaa kwel tunatofautiana daah, chapati ya maji ilivyo simple vile
Hiyo niamshe hata usiku wa manane nakupikia vizuri, sema ile ukitaka itoke vzuri bas utumie non stick pan, hizi nyingine hua naona hazitoi chapat nzuri + mchanganyiko ukiwa size ya kawaida sio mzito wala mwepesi sana
🤣🤣🤣 eti za kumwagia kwenye pan, aki nimechekaHizo nilishajaribu,nikatoa shepu undefined,
Sitaki tena ule mchezo wa kupika chapati za kumwagia kwenye pan
Kitendo cha kuimwagia na kuisambaza ikae vizuri ni mtihani mno.eti za kumwagia kwenye pan, aki nimecheka
Me nazipenda hautoi jasho
Std 6? You must be pro then😃Wewe tu ,ila principles ni kwenye ukandaji na upakaji wa mafuta ....then ukishaepua unavyozihifadhi.
I started cooking chapati nikiwa std 6
Uzito wa pan na kiwango cha moto ,vinadetermine pia aina ya chapati inayotoka.Wewe tu ,ila principles ni kwenye ukandaji na upakaji wa mafuta ....then ukishaepua unavyozihifadhi.
I started cooking chapati nikiwa std 6
Na hii nayo ni rahisi tu ,unaweza kusambaza na kijiko unachomwagia au pan yenyewe kwa kushika mkono wake na kujizungusha kutengeneza duara.Kitendo cha kuimwagia na kuisambaza ikae vizuri ni mtihani mno.
Nikaona siyo fungu langu kabisa hizo chapati .
Nitakufundisha jinsi ya kusambaza vizuri ilete shape duara😂Kitendo cha kuimwagia na kuisambaza ikae vizuri ni mtihani mno.
Nikaona siyo fungu langu kabisa hizo chapati .