[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitu naipenda ila hua inanisaliti kila nikijaribu kupika zinatoka kaukau[emoji23]
Sasa nimeamua kuacha nitajaribu tena sijui mwaka gani huko
Ni mateso basi tu😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usicomplicate sana.
Ukipika ziweke pamoja kwenye pot,
Zinakuwa laini mno.
Usiache zikapigwa na baridi,ukiepua.
Cadate hiz cjui tukoje, yaan km karatas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stand, ulkua unaenda wapi?Mbezi kwa mzee baba Magufuli
I can teach you,ukitakaHii kitu naipenda ila hua inanisaliti kila nikijaribu kupika zinatoka kaukau😂
Sasa nimeamua kuacha nitajaribu tena sijui mwaka gani huko
Jaribu.Ni mateso basi tu[emoji23]
Nitajaribu hiyo tip nione kama itawork kwangu, nitakupa mrejesho ukiona kimya bas ujue bila bila[emoji28]
Chapati nimezielewa,[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hongera sana, bati umejua kuchagua, n nzuri rangi inavutia.Site... kibanda..
View attachment 2008366
Wee chapat mbna kupika n simple xan,Unancheka eeh
Kuku ungemfanya awe kange ingekuwa[emoji108]
Zinaonekana lainii na tamuu😍
Hapana.
Recipe pls. Sio utupigie tu kelele hapa kumbe unajua kuchemsha tu maji ya kuoga.Wee chapat mbna kupika n simple xan,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nn Leo wee?Nyumbani.
Nauzaga karanga hapo mbezi.
Nitajaribu next time.Kuku ungemfanya awe kange ingekuwa[emoji108]
Wii umetuma pcha ya gaun kimini umefuta xjaona, au wee hutak kuolewaa ungonini? [emoji23][emoji23][emoji23]Nikuone
Za kawaida.Zinaonekana lainii na tamuu[emoji7]
Usiweke mchuzi.Nitajaribu next time.
Japo kuku wa mchuzi mchuzi huwa sipendi sana[emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman my wii umenidaka juu juu, recipe nshahau, housemaid wangu ndo kaz yake hyo. LolRecipe pls. Sio utupigie tu kelele hapa kumbe unajua kuchemsha tu maji ya kuoga.