Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.
La kwanza kabisa, jamaa wanalipa kodi na serikali imekuwa kali sana kwenye kodi. Marufuku kwa Egyptian kutumia foreign currency, Sisi huko tunaona sifa ukiwa na vijidola vyako.
Magufuli alipozipiga pini bureau de change kelele uliziskia bro. Kiufupi Tanzania ina fursa nyingi sana za kutoboa kabla serikali haijagangamala.