Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijambo.

Nimeona unapita kimya,nikaona nikusalimie.


Nakumbusha kwamba usisahau zawadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli safari hii siwezi kukusahau.

Ningekuletea glass ambayo imetengenezwa pure kwa kutumia alabaster but ndio hivyo ten.

Utapata kitu chengine usijali mdogo wangu mwenyewe.
 
Mbona kumkumbusha cocastic mambo ya cold war. πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alooooh.
Wamujibu doso halikoleagi nazi asee.

Wale wenyewe bana [emoji1787][emoji1787] mnakula doso mpaka Me na Ke wote wanafanana.

Sasa hapo naona warembo kibao.

Nimekuangaza sijakuona...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawe wii ulienda kwa mujibu?
 
Haupo mbali na ukweli, mama mtumishi.

Pep ni jina lililokua derived kutoka Joseph, Josep, Yosef, Yasaph, Yehoseph ama Yusuf.

Linatumika zaidi na watumishi wenzetu wa pale Catalonia/Katalunya nchini Spain.

Kwanini nalitumia basi?

Moja ni kwasababu jina langu linatokea kwenye hiyo list hapo juu

Lakini pia, Josep Guardiola (arguably the most decorated football coach alive) maarufu kama "Pep" ni role model wangu kwenye ualimu wa soka.

Ameni inspire kwenye mengi, ikiwemo kufanya badges za football management & coaching

Nje ya utumishi, nikiweka Tenzi za Rohoni pembeni, huwa nafundisha watoto some basics za footbal.

__________________________

Mtumishi mwenzangu avatar yako imependeza sana.

Watumishi wenzangu hapa kwenye huduma wameniambia huyo hapo atakua Miss Tanzania.

Wanasisitiza hilo ni confirmed, bado tu announcement.

Embu nipe mwongozo, hiyo picha ni ya mtumishi mwenzetu yupi?
 
Asubutu, waliishiaga D, then wakatokea kwenye Z kuja juu.
Hapo kati tukaponyeka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkajua wee ulienda, mie nlienda stasahau 250k yangu kala mjeda ili anitoroshe, na hakunitorosha badala yake sasa nilichokipataa Jah anajua yeye tyuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…