Nimecheka kwa nguvu mtumishi mwenzangu 🤣🤣🤣Asante baba.
Kumbe kifuani si haba pia baba[emoji847]
Nasubiri sura baba,
Unamnyima mama mtumishi kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka San my wiii,Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.
Kipimo alichoandika hakisomeki wala sikukielewa ko sikushughulika nacho sana, kufika nikaenda kabidhi ile kadi kusubiri kuitwa. Yule attendant akauliza umetoka kwa Dr. Room na 3 nikamwambia ndio, yule dada akajiongelesha ' ana nini huyo leo mbona karibia watu wote anawaleta huku?
Nikashtuka kidogo ila sikuongea nikarudi kukaa kwa viti, basi nikakaa karibu na mdada wa saizi yangu akili ikaniambia muulize kaandikiwa kipimo gani.
Kuuliza akanijibu kipimo sawa na nilichoandikiwa tena akaongeza 'unajua ni kipimo cha HIV hiki? Nikamwambia hata sijui, basi nikagoogle chap nikaona ni bla bla za HIV. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamuaga yule dada nikamwambia siwezi poteza muda wangu hapa maana nilivyojimaliza kwa DR na hiki kipimo sioni koneksheni yoyote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikasepaa.
[emoji7][emoji7][emoji7] dea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani sasa akae kusikiliza zile 'upo tayari kupokea majibu yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aloooh we mtoto [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bana kuna mambo hata kama una uhakika nayo Ila kunakuwa na kijihali flani hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PGO my foot [emoji23][emoji23] hebu do the needful..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia huo msindano upo kama wa ng'ombe [emoji23][emoji23]
Ile uliificha sana baba.Nimecheka kwa nguvu mtumishi mwenzangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ilivyokwisha kuandikwa, basi sitakunyima mama mtumishi.
Unadhani sura imebadilika kuliko ile niliweka siku ile?
Na umeng'ang'ania kama ruba 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemkomalia kaka wa watu [emoji23][emoji23]
Nimekumbuka lile jina langu la pombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi nimepatwa na baridi nlvoona hii picha, nmekumbka kabuku Tanga, jaman mweeeeeh.Hawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2007259
Huyo mwana aliyechuchumaa anafanana na blaza SabayaHawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2007259
Uking'ang'anizi huu,[emoji1787]Na umeng'ang'ania kama ruba [emoji1787][emoji1787]
Pombe ya kike [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 alooooh.Hawa hapa wazalendo wenzako! Wamepigwa doso la maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2007259
Nta blow cover mama mtumishi.Ile uliificha sana baba.
Leo iweke wazi mama mtumishi afurahi.
Kweli wewe ni wa kunificha vile picha yako baba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waalaykumu salaam warahmatullah wabarakatuh hapo kwenye joto hahahahaha.Relief Mirzska Aslam aleiykum warahmatullah wabarakat hapo misri[emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha baba[emoji847]Kumbe wewe ni Joseph!?Nta blow cover mama mtumishi.
Wacha nijizoeze kutoku comment tena kule jukwaa la siasa.
Halafu sasa ntarudi hapa kuweka kila kitu, hadi original name ya Pep ambacho pengine unafahamu tayari kwamba ni Josep