Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2006918
View attachment 2006921
Tuendelee kukumbushana umuhimu wa kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Kama una mpenda, utamlinda πŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ’ͺ
Basi bana kuna day miaka hiyo nilienda zahanati moja hivi ya serikali, nikajimaliza kwa Dokta then akanipa karatasi ya kwenda nayo maabara.

Kipimo alichoandika hakisomeki wala sikukielewa ko sikushughulika nacho sana, kufika nikaenda kabidhi ile kadi kusubiri kuitwa. Yule attendant akauliza umetoka kwa Dr. Room na 3 nikamwambia ndio, yule dada akajiongelesha ' ana nini huyo leo mbona karibia watu wote anawaleta huku?

Nikashtuka kidogo ila sikuongea nikarudi kukaa kwa viti, basi nikakaa karibu na mdada wa saizi yangu akili ikaniambia muulize kaandikiwa kipimo gani.
Kuuliza akanijibu kipimo sawa na nilichoandikiwa tena akaongeza 'unajua ni kipimo cha HIV hiki? Nikamwambia hata sijui, basi nikagoogle chap nikaona ni bla bla za HIV. 🀣🀣🀣

Nikamuaga yule dada nikamwambia siwezi poteza muda wangu hapa maana nilivyojimaliza kwa DR na hiki kipimo sioni koneksheni yoyote 🀣🀣🀣 nikasepaa.
 
Nile firigisi? Kwani wings na breast zitakuwa zililiwa na mpishi au??!

Kuku la kienyeji kabisa, enjoy mkuu.
 
Kwahiyo ulikacha kipimo siyo?
 
Sure sema 2021 uongo mbaya, movie kali ni chache sana...
Halafu wenzetu wapo serious na kazi asee, nimecheki hii no time to die kumbe wameanza kuitengeneza 2016? Duh nimeshangaa, yaani 5 yrs mtu anatengeneza filamu ya 2hrs, nimejifunza kitu hapo..
Wale jamaa wapo vizuri wanatake time ya kujiandaa, na sometimes inawabidi hata wapitia mafunzo ili kuandaliwa movie yenye ubora. Movies nyingi za science wanakuwa na mwanasayansi ili kuweza kutoa movie ambayo ipo sahihi na inaendana na kanuni za kisayansi.
 
Sijambo baba.
I missed you baba[emoji3059][emoji7][emoji8]
Mbona unapotea hivyo?

Kwani baba mtumishi;na wewe upo kwenye kundi la 1990 naa??[emoji2960]
You were very much missed mama mtumishi. Ndo maana nikasema nije hapa jamvini kukuona.

Mambo kidogo yanakua mengi lakini nipo sawa.

__________________________________

Sina shaka unafahamu mwokozi wetu Yesu alianza huduma akiwa miaka ngapi, sasa ongeza 1 hapo.

Huo ndo umri wa mtumishi mwenzako.
 
Uliona Bwana Daktari anataka kukupima ugonjwa ambao hukuwa nao, kwahiyo ukalala mbele πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bana kuna mambo hata kama una uhakika nayo Ila kunakuwa na kijihali flani hivi 🀣🀣🀣
Hahahaha.....una nifurahisha mjukuu πŸ˜‚

Wakati nyie mnaogopa HIV, sisi enzi zetu kulikuwa na ugonjwa unaitwa Kaswende, na Gono. Tulikuwa tukiogopa sana hadi pale miaka ya '73 Wazungu walipotuletea Sindano kutuponya πŸ™ˆπŸƒ
 
Baba mtumishi kumbe bado kijana namna hiyo eeh!!
Nimefurahi kusikia hivi.


Hebu selfika kidogo baba,Si unajua mama mtumishi alikumiss sana eeh!??
Usimuangushe.
 
Speed za kienyeji ngumu mno, siwezani nazo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi nitakuletea wings ili ukila uwe na uwezo wa kuruka kama bombardier πŸ˜‚

Nimekumbuka wakati fulani tukiwa wadogo tulikuwa tukidanganywa kuwa ukimeza punje ya tunda let's say zambarau inakuota kichwani. From that moment, we used to be very carefully tusimeze punje zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…