donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Tbt, with the boys
Umeruka na kukaa hewani kweli au unatania?Tbt, with the boys View attachment 2006013
Mma mweeKhaa Ule na matingo ugwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Plan zangu ilikuwa ni kuishi Mwanza,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, wengne tumekimbia kulima.
Ila cc fanya mpango uende mwanza, jaman pazuri kule sehem, mie nlkua mwanza field miez 2,yaan nmekula samaki wa kila aina,nmezurura ziwa victoria,nlipiga maphoto kibao, lahaulaah cm enyew ikaibwa,[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan ngekua natupia mapicha humu kila mda,daaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Ila,mwanza pazur mno, field ijayo natak niende Mbeya nkajionee maisha rahs. Na utanipokeaa wee cc.
47 amezaliwa mjomba wangu..Umesahau kuwa enzi zile tunapigania Uhuru wa Nchi Mimi nilikuwa Katibu wao[emoji3]
Mimi wa '47 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli mkuu, ni mafunzo tu. Used to be so flexible before I gained weight. #retiredmartialartist
Yaani ni kweli umeruka angani?Ni kweli mkuu, ni mafunzo tu. Used to be so flexible before I gained weight. #retiredmartialartist
Amini kwamba mkuu!
Unapokua ni mtaalam wa kupiga msamba, inakua easy tu mkuu
Asante nashukuru[emoji38][emoji120]Amini kwamba mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23], it's all about training. You can't imagine what the human body can do or endureAsante nashukuru[emoji38][emoji120]
Studio nitoe na wimbo,
Nimebaki naduwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru komando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unapokua ni mtaalam wa kupiga msamba, inakua easy tu mkuu
Asantee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], it's all about training. You can't imagine what the human body can do or endure
Nitashukuru kwa kweli, nimekaa mkao wa kuona. Hapa nimevaa miwani yangu ya kusomea ili nione vizuri hiyo picha 🏃Haya ngoja nimtaarifu .
Umeona tulivyokula chumvi nyingi Mimi na uncle wako eeh 😂
[emoji1787][emoji1787]Nitashukuru kwa kweli, nimekaa mkao wa kuona. Hapa nimevaa miwani yangu ya kusomea ili nione vizuri hiyo picha [emoji125]
Chene hangï,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhebhe nkwelayo ong'hwene
Piga tizi mjomba acha kulegea!Ni kweli mkuu, ni mafunzo tu. Used to be so flexible before I gained weight. #retiredmartialartist
Ehee!!NkoiChene hangï,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]