kwa kweli, wengne tumekimbia kulima.
Ila cc fanya mpango uende mwanza, jaman pazuri kule sehem, mie nlkua mwanza field miez 2,yaan nmekula samaki wa kila aina,nmezurura ziwa victoria,nlipiga maphoto kibao, lahaulaah cm enyew ikaibwa,
Yaan ngekua natupia mapicha humu kila mda,daaah
Ila,mwanza pazur mno, field ijayo natak niende Mbeya nkajionee maisha rahs. Na utanipokeaa wee cc.