Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.Hapo kuna historia ya maisha! Tafiti vingi hasa maendeleo yamefikaje, tufahamu namna ya kusaidia Tanzania.
Bado nakusanya nguo kwanza.Ushalud mjengo nini??
Mwee nkamu [emoji1787][emoji1787]kwa hiyo wewe ni dada yangu[emoji22]
πππnitaludi kabla yako weweBado nakusanya nguo kwanza.
Hongera mkuu.[emoji1][emoji1][emoji1]nitaludi kabla yako wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] watu mnajua kureasonUnakunywa coca nyeusiiii unakojoa mkojo mweupeeee peee, ile rangi inabaki wapi, nikishajiuliza tu, basi naagiza kvant kubwa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukran.. tuludi tukalijenge jiji la BwanaHongera mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had tumbo linauma, ila nyie watu jaman khaaaaah.Unakunywa coca nyeusiiii unakojoa mkojo mweupeeee peee, ile rangi inabaki wapi, nikishajiuliza tu, basi naagiza kvant kubwa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bibie, vipi hali yako?? Za masiku?? Nsalimie Khantwe ukimuona
Mafala hawa ,ila nishatuaUnakunywa coca nyeusiiii unakojoa mkojo mweupeeee peee, ile rangi inabaki wapi, nikishajiuliza tu, basi naagiza kvant kubwa..π€£π€£π€£
Red notice ya ronald na the rock ndo movie ilotengenezwa kwa mpunga mrefu zaidi na NetflixNo time to die ni best movie 2021, imefunga mwaka... hatari tupu...
Sidhani kama hio red itafika hapa...
π π π Ndani ya ndege walinipa safari lager 3 ,safi kabisaUnakunywa coca nyeusiiii unakojoa mkojo mweupeeee peee, ile rangi inabaki wapi, nikishajiuliza tu, basi naagiza kvant kubwa..π€£π€£π€£
Ikimaliza tour andaa thread nyepesi tu tupate kujifunza mengi na kujadili yaliyomuhimu kwa mustakabal wa taifa na watu wake.Nikisema hapa wakulungwa watanishambulia.
La kwanza kabisa, jamaa wanalipa kodi na serikali imekuwa kali sana kwenye kodi. Marufuku kwa Egyptian kutumia foreign currency, Sisi huko tunaona sifa ukiwa na vijidola vyako.
Magufuli alipozipiga pini bureau de change kelele uliziskia bro. Kiufupi Tanzania ina fursa nyingi sana za kutoboa kabla serikali haijagangamala.