Juzi ijumaa nimepanda express Shekilango naenda kimara mwisho crdb. Ilikuwa bado dakika 18 bank wafunge jamaa ametembeza gari taratibu adi nikachelewa.
Unadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?
Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana
Juzi ijumaa nimepanda express Shekilango naenda kimara mwisho crdb. Ilikuwa bado dakika 18 bank wafunge jamaa ametembeza gari taratibu adi nikachelewa.