Kuna dogo alidakwa halafu mwaka wa mwisho, alilia kama mtoto. Akawa anasema wazazi wake wameteseka sana kumsomesha kwa taabu na ni masikini yeye ndio wanamtegemea maana kwenye familia nzima yeye ndio ana unafuu. Lakini mwalimu hakumuelewa, haki niliumiaaaa.
Tunamuuliza, "kama unayajua hayo ni kwanini uingie na karatasi?" akawa anamlaumu tu shetani. Ikawa ndio basi tena!