Huwa tunazitumia manda hizoZa bakhresa hata sio nzuri, kuna hizo nimesahau jina ni nzuri sana. Lakini pia kutengeneza manda mbona simple tu.
Nimeikumbuka ile picha ya sambusa uliwahi kuweka humu.Za bakhresa hata sio nzuri, kuna hizo nimesahau jina ni nzuri sana. Lakini pia kutengeneza manda mbona simple tu.
Na huwa wanadakwa kweli, mwingine mwaka wa mwisho kabisaUnakuta siku unayojaribu ndo unakamatwa.
Imagine kudisco chuo kwa sababu ya karatasi!
Si ajabu hata uliyoyaandika yasitokee kwenye mtihani.
Bora kudisco kwa kufeli,inakuwa umepambana umeshindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifundishe dearHuwa tunapika ikitokea shughuli , vyakula vinakuwa vingi hivyo ili kusave muda tunatumia hizo za bakhresa ..
Mimi naona zipo poa tu , kila mtu ana mtazamo wake .
Wewe tu dear, any time.Nimeikumbuka ile picha ya sambusa uliwahi kuweka humu.
Naomba ujitolee kunifundisha mwee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kaka lecturer alikuwa anatusisitiza sana mwaka wa mwisho, anasema somo lake ni gumu,,ni bora tukarudi kufanya sup kuliko kuja kukamatwa na desa mwaka wa mwisho.Na huwa wanadakwa kweli, mwingine mwaka wa mwisho kabisa
Umejificha sana bwana....nywele nzuri nimetamani kusuka tena!!!
Unajua bhana , naonaga selfie za pilau zako ..
Kuna dogo alidakwa halafu mwaka wa mwisho, alilia kama mtoto. Akawa anasema wazazi wake wameteseka sana kumsomesha kwa taabu na ni masikini yeye ndio wanamtegemea maana kwenye familia nzima yeye ndio ana unafuu. Lakini mwalimu hakumuelewa, haki niliumiaaaa.Kuna kaka lecturer alikuwa anatusisitiza sana mwaka wa mwisho, anasema somo lake ni gumu,,ni bora tukarudi kufanya sup kuliko kuja kukamatwa na desa mwaka wa mwisho.
Si ajabu Unakuta somo lenyewe mtu angefaulu vizuri tu bila karatasi.
Kuna wale pia wa formation zao
Wamejipanga kimkakati aisee,watu ni majasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijaona tag .. hata hivyo umependeza sana ..
Mngh! Usipokuwa makini unaweza kuitafuta mashine kwa lisaa lizima bado haijatokeza hadharaniMzee shibisha nafsiView attachment 1998931
Fanya kile moyo unapenda ... huwa nikinyoa ndo natamani kusuka sana labda niweke curly hivi ndo nakuwa sitamani kihivyo .Umejificha sana bwana....nywele nzuri nimetamani kusuka tena!!!
Ngoja nijaribu...Fanya kile moyo unapenda ... huwa nikinyoa ndo natamani kusuka sana labda niweke curly hivi ndo nakuwa sitamani kihivyo .
Kabla ya kufanya maamuzi ya kuingia na karatasi inabidi tu kuwaza kwamba lolote linaweza kutokea.Kuna dogo alidakwa halafu mwaka wa mwisho, alilia kama mtoto. Akawa anasema wazazi wake wameteseka sana kumsomesha kwa taabu na ni masikini yeye ndio wanamtegemea maana kwenye familia nzima yeye ndio ana unafuu. Lakini mwalimu hakumuelewa, haki niliumiaaaa.
Tunamuuliza, "kama unayajua hayo ni kwanini uingie na karatasi?" akawa anamlaumu tu shetani. Ikawa ndio basi tena!
Nilikuwa sijaona tag .. hata hivyo umependeza sana ..
Unajua bhana , naonaga selfie za pilau zako ..
mimi mwenyewe begginer, natamani niende hata cooking class nipate maarifa zaidi .
Suka mwayaUmejificha sana bwana....nywele nzuri nimetamani kusuka tena!!!
Yeah natumia App .
Tag ilijificha juu Kule,na kama unatumia App,kupata notifications ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app