Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Una mambo wewe!!!😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 nilipoliona nikakukumbuka.
Una mambo wewe!!!😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 nilipoliona nikakukumbuka.
Nilifanikiwa.Ndio inavyotakiwa. Kuna muda unahisi kama una njaa lakini sio. Kama umekula masaa machache yaliyopita jitahiji kunywa maji kidogo usikilizie.
Vipi umwfanikiwa kutoboa au ulikula tena? [emoji12]
Ndiyo mkuu,ulikuwa mtamu.Huu msosi simple lakini utakuwa ni mtamu sana...
Ila siachi kunyoa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siunaona sasa. Hapo ungekimbilia kiporo ungeongeza kitambi 😜😜
[emoji3]Siunaona sasa. Hapo ungekimbilia kiporo ungeongeza kitambi [emoji12][emoji12]
Nimekumbuka mbali sana izi alakati utoto na raha yake [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Watoto wa kishua hawawezi elewa haya.Nimekumbuka mbali sana izi alakati utoto na raha yake [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Kuna kale kaalufu flani ivi ka asiri [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] moment nyingi sana za utoto zilikuwa nzuri sana saizi azipo ata kwa dawaWatoto wa kishua hawawezi elewa haya.
Tuliokulia vijijini tumechoma sana viazi namna hiyo.
Halafu vilikuwa vinakuwa vitamu [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ilikuwa raha sana.Kuna kale kaalufu flani ivi ka asiri [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] moment nyingi sana za utoto zilikuwa nzuri sana saizi azipo ata kwa dawa