Dawa ya kopo
Steaming......Nilifanyiaga mara moja tu kwa majani ya mapera
nywele zilinywea balaa vilikuwa vidogo
Tokea hapo sijawahi kufanyia tena,natumia tu mafuta ya nazi ya maji,hivyo nikitumia Mafuta ya mgando kwaajili ya nywele huwa zinakatika Sana.