Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha umenikumbusha kitu , wakati nasoma chuo nilikuwa mvaa mawigi sana ,
Ile naingia kwenye dala dala baada ya kutoka kwenye vipindi najilaza huyo natoa wigi maana sio kwa joto hilo ,mtu anabaki kushangaa nini hichi [emoji1787].
Kuna dada alishadondosha wigi kwenye mlango wa kuingia lecture room[emoji23][emoji23]
Yaani enzi hizo first year siku za mwanzo,Watu wanaona sifa kuwahi kuingia ..naye yupo anagombania kuwa wa kwanza ..Aisee Watu walivuta wigi ,ndani ana tumabutu kichwani kama tu nzi[emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom