Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,316
Bado najiuliza kwanini Kuku wa hapa Dom ni watamu kuliko wa kule kwetu 😋😋🙌
Bado najiuliza kwanini Kuku wa hapa Dom ni watamu kuliko wa kule kwetu 😋😋🙌
Yaani kwamba hujawahi kuusikia?
Wanajua kuchomaBado najiuliza kwanini Kuku wa hapa Dom ni watamu kuliko wa kule kwetu [emoji39][emoji39][emoji119]
Itakuwa upo kwenye ulimwengu wa kipekee sana
Nipo duniani hapahapa mkuu.Itakuwa upo kwenye ulimwengu wa kipekee sana
Mhala sana okono nkoi...nimho mbula yalemile ogotolaMhola dúhú nkoyï, ginehe ukwene!
Njoo improve
Nipo duniani hapahapa mkuu.
Sasa Sijui ndio ushamba ama uzembe tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ulikimbia mapema[emoji854]Siku ile nilikuwa mzima mbona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Beer tamu jamani
Daah nilikukumbuka nikasema nitakucheki sema nilikua tight sana![emoji28]Ila si tulikubaliana utanipa lift?[emoji848]
Daah nilikukumbuka nikasema nitakucheki sema nilikua tight sana![emoji28]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app