Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
If it was me najua ana ratiba ya kuja namtumia kabisa WhatsApp na caption babe karibu breakfast ili ajiandae kisaikolojia
Try this one mkuu....wine ya uyoga..u will thank me later[emoji28]
20211031_142603.jpg

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Try this one mkuu....wine ya uyoga..u will thank me later[emoji28]View attachment 1993360

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
😮
Aisee ni uyoga kabisa?
Watu mna mapigo🤣

Kuna jamaa humu anaitwa mbalizi1 aliniambia kazi ya hio asali inaitwa UPULA..
Nilikuwa nayo ndani kama lita 5 lakini sikujua matumizi yake..
Nimeinywa siku ya 5 leo, aisee network ile asubuhi naamka inasoma 4G LTE ikifika mida ya mchana ngoma inasoma mpaka 5G network bar zipo full🤣🤣

Yaani mkuu unaweza kupigia na push up kabisa, ngoma imekakamaa haitaki maelezo halafu inakuwa kama ina twitch hivi..🤣🤣🤣

Nimeamua niachane nayo aisee, haya ni mateso sasa..
 
[emoji50]
Aisee ni uyoga kabisa?
Watu mna mapigo[emoji1787]

Kuna jamaa humu anaitwa mbalizi1 aliniambia kazi ya hio asali inaitwa UPULA..
Nilikuwa nayo ndani kama lita 5 lakini sikujua matumizi yake..
Nimeinywa siku ya 5 leo, aisee network ile asubuhi naamka inasoma 4G LTE ikifika mida ya mchana ngoma inasoma mpaka 5G network bar zipo full[emoji1787][emoji1787]

Yaani mkuu unaweza kupigia na push up kabisa, ngoma imekakamaa haitaki maelezo halafu inakuwa kama ina twitch hivi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimeamua niachane nayo aisee, haya ni mateso sasa..
Uyoga mkuu ni balaa. Aisee hiyo kitu inabidi niitest

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom