Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ntakukoma mwaka huu, nimebaki mwenyewe wa kunukia vigunia vya mpunga[emoji53][emoji53]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi nimeacha kutembea na hela mjini siku hizi.
Nikitembea nazo yaani iwe isiwe lazima nitanunua kaperfume hata kamoja.
Nakusanya mdogo mdogo tuperfume,,nyumbani Huwa wananiambia nitakuja kuoza pua[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee polen sana

Jana nimekula mzinga nikaona kifo ni kitu tunatembea nacho very close

Ajali [emoji119]
Pole sana.

Yaani huyu ajali+kuungua hadi kufariki ndani ya hilo gari..I can't even imagine [emoji22].

MUNGU ni mwema,upo salama.
Kifo tunatembea nacho,,cha muhimu kujiweka tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.

Yaani huyu ajali+kuungua hadi kufariki ndani ya hilo gari..I can't even imagine [emoji22].

MUNGU ni mwema,upo salama.
Kifo tunatembea nacho,,cha muhimu kujiweka tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Maisha haya we acha tu. Ingekuwa mtu unaomba ufeje ungeweza kuomba uondoke zako ukiwa usingizini au ulambwe risasi ya kichwa tu paap! Ukienda huko Ocean Road Hospital ukaona kansa inavyotesa watu ndo utajua kuwa binadamu sisi si kitu yaani. Mungu na Atusaidie kwa kweli siku yetu ikifika (kila mmoja kwa ratiba yake) tuondoke kwa wema na amani.

Labda rafiki yako hakuwa na fahamu baada ya ajali na maumivu ya moto hakuyasikia. Apumzike salama [emoji1545]
 
Hakuna anayejua kilichoendelea maana alikuwa pekeyake ndani ya gari,tena msituni.
Wameenda kumtoa na kukuta hali ipo hivyo .
Mwenyezi Mungu amlaze pema[emoji22], Alikuwa Smart sana kichwani huyu dogo.

Huwa namuomba Mungu kila siku asije nipa kifo cha mateso,,nije kukata kamba bila kuteseka wala kutesa watu.

Muhimu kujiandaa muda wote[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Nje ya mada:
Niliongeza na black opium..naona ndio the best,ikifuatiwa na poison Dior.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nkamu uliipenda Black Opium? daah ngoja niirudie niichukue labda nichukue hiyo ya kupima maana siipendi ila naona wengi mmeipenda.

Kama nakuona unavyonukia
 
Nkamu uliipenda Black Opium? daah ngoja niirudie niichukue labda nichukue hiyo ya kupima maana siipendi ila naona wengi mmeipenda.

Kama nakuona unavyonukia
Ni tamu sana [emoji91]
Yaani naona ndio nzuri kuliko zile zote.

Naomba uendelee kuniorodheshea na nyingine nkamu.
Nitakuwa nanunua Moja Moja.

Nanukia Yani hadi ninaokaa nao wanasema nitawaletea majini [emoji23][emoji23].
Kale kanivea kangu nimekapumzisha Kwa muda,dokta wangu wa pua anisamehe tu Kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom