Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Ndiyoo.. si tumenyoa jamani..[emoji2]Kwamba huyu wa sasa ndiyo yule yule uliyetoka kumtoa [emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyoo.. si tumenyoa jamani..[emoji2]Kwamba huyu wa sasa ndiyo yule yule uliyetoka kumtoa [emoji2297][emoji2297]
Aisee yaani ulivyosema ndiyo ikabidi nimzoom nianze kumuangalia huku nikivuta kumbukumbu ya yule mwingine. Nimeanza kuona wanafanana kwa mbali sema alivyonyoa ni kama amekuwa kabinti wakati ile nyingine alikuwa kama mmama hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee yaani ulivyosema ndiyo ikabidi nimzoom nianze kumuangalia huku nikivuta kumbukumbu ya yule mwingine. Nimeanza kuona wanafanana kwa mbali sema alivyonyoa ni kama amekuwa kabinti wakati ile nyingine alikuwa kama mmama hivi.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mimi naona hii ya sasa ndio amekaa kimama ila ile nyingine amekaa kibintiAisee yaani ulivyosema ndiyo ikabidi nimzoom nianze kumuangalia huku nikivuta kumbukumbu ya yule mwingine. Nimeanza kuona wanafanana kwa mbali sema alivyonyoa ni kama amekuwa kabinti wakati ile nyingine alikuwa kama mmama hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hatimaye leo umeweka tena,baada ya miaka 2 kupita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni picha yako ya 3 tangu uzi uanze.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikubishii Mdogo wangu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikubishii Mdogo wangu..
Naweza kukataa.. halafu ukazileta hapa zote[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile zilifutika, ila nilizisave.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nywele fupi.....hapa nazidi kukuelewa shem[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuonesha mtu mwenyewe..
Halafu si unajua nywele fupi vile zinampa mtu muonekano wa tofauti Mdogo wangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado slave trade ipo ? Watu wananinginia kwenye canter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuning'inia kwenye Kenta za Mwakaleli atafika shati lake lote limechafuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] mbona utamfurahia ukimuona. We mlete, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai.....Unajua Bibi yako ni Mkulima, hivi watakubali kumsafisha kucha zake zenye udongo wa Shamba?
Na anavyopenda urembo lazima atafurahi, ngoja nimlete[emoji87][emoji87][emoji1322][emoji1322]
Mimi kufuga ni mtihani kwa kweli, bora kubandika tu. Natural zikiwa ndefu kbs, wanazitengeneza vzr tu.Hivi hata hizi natural wanaweza ziweka hivyo?
Za kubandika nimeshindwa [emoji2308]
Habari za siku sister
Vizuri sana kama ni nzuri dada mpendwa