Oohh! Daah ila jf app bana! [emoji3][emoji3]I think zilikuwa emoji zako....corrupted [emoji854]
Aah hata vifua navyo havieleweki! Halafu nitakuitia mama ujue! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini si wana vifΓΊa vya kutosha dota?[emoji23][emoji23]
Hahahah...dah! Hem niwache dota!Aah hata vifua navyo havieleweki! Halafu nitakuitia mama ujue! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Tuachane na haya mama! Naona watu washaanza kuchukulia hii issue personal wakati ni sisi tumeamua tu kuendeleza huu mjadala kivyetu kutokana na uhalisia tunaouona kwenye jamii!
ππππΎYour skin complexion is on point[emoji6]
Thanks for the tip mpenzi.Usisahau kupita FOGO GAUCHO Lizzy!!!
Kama unapenda nyama...You will thank me later..
Sent using Jamii Forums mobile app
Polee..[emoji20]Thanks for the tip mpenzi.
Muda sasa [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Jamaa anapanic vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimetajiwa Hadi akina billgate na magari sijui ,mara sijui miaka 20,sijui probability , Kwa comment yangu ambayo nilikuquote na sijataja mtu
Watu wamejipachika kwenye comment yangu na kuanza kutiririka[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiani??Huku mkiani kwa Tanzania[emoji41]
Kuna Rais aliahidi atajenga leri Da to Mbamba bay[emoji2902][emoji120]View attachment 1988748
Iliaply zaidi wakati wetu wa ujana, kwa kizazi hiki ni shidaKitchen party[emoji23]View attachment 1989392View attachment 1989391
Yaani hadi nikahisi mtu kakosea kuniquote,maana tangu mmeanza mjadala wala sikuconcentrate kwenye comments zake,,nikawa najichatia na shoga yangu Karma maana hizi mada huwa tunajuana,,,duh nashangaa sijui kumiliki magari,sijui majumba,sijui kutemea mate watu yaani nimeamka asubuhi kufungua jf nikahisi nina wenge la usingizi.πJamaa anapanic vibaya
Eh nimeshangaa sana
Povu kama lote , kikubwa upo humble sana , umejibu kiustarabu .
Gorgeous skin texture#offthewallView attachment 1989281
Kasema eti umuwacheeeeeeeKwamba na P ni mjasiriamali au muwekezaji?