Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss!! nadhani hapa ume overdo😂😂🙌
 
Mkuu kwanini unaona kama im taking this personal? Wewe mbona nilishakuambia nimezikubali hoja zako?

Wewe ni mgeni JF? Umeshawahi kutembelea jukwaa la MMU na kusoma mada zinazohusu mahusiano au ndoa?
 
Mkuu kwanini unaona kama im taking this personal? Wewe mbona nilishakuambia nimezikubali hoja zako?.

Wewe ni mgeni JF? Umeshawahi kutembelea jukwaa la MMU na kusoma mada zinazohusu mahusiano au ndoa?

Mimi nimetajiwa Hadi akina billgate na magari sijui ,mara sijui miaka 20,sijui probability , Kwa comment yangu ambayo nilikuquote na sijataja mtu

Watu wamejipachika kwenye comment yangu na kuanza kutiririka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu actually wewe ndiyo umechukulia hii issue personal and serious yaani hata sisi hatukujua kama ungefika huku! Maana tuliyoyaendeleza mimi na Saint Anne hayakuwa yakikuhusu wewe tena yaani tulishatoka huko kwenye issue ya bro wako!

Hiyo issue ya bro wako binafsi nilishaifunga kabisa pale niliposema wewe nimeshazielewa hoja zako na huna makuu basi! Hayo mengine tuliyoyaendeleza sisi ni mitazamo ya wanaume wengi kwenye jamii zetu hivyo tulikuwa tunaongelea in general!

Kwenye mada kama hizi huwa hatuongelei mtu mmoja mmoja bali tunaongelea jamii kwa ujumla ulipaswa kuelewa hilo! Ndiyo maana nikakuuliza kama wewe ni mgeni JF na huwa unatembelea lile jukwaa la MMU na kusoma mada za kule kuhusu mahusiano au ndoa!

Kwa sababu kama ungekuwa unatembelea lile jukwaa na kusoma wanayoyaandikaga wanaume wenzio kule kuhusiana na hayo mambo ungetuelewa from the beginning! Na wala usingechukulia hii issue personal na kuona kama vile this whole topic is all about you!
 
Ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanaoa.

Niliona kule MMU,wanaona kama ndoa ni zawadi tu kwa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane na haya mama! Naona watu washaanza kuchukulia hii issue personal wakati ni sisi tumeamua tu kuendeleza huu mjadala kivyetu kutokana na uhalisia tunaouona kwenye jamii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…