Mbona ni kama mabaya yote umeyasokomezea kwa wanawake kana kwamba wanaume ni innocent? Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume ndiyo wana mapenzi ya kweli na kwamba wao hawademand vitu vingi toka kwa wanawake?

Kwanza wamewapanga wasichana utadhani DJ anavyopanga ngoma za kupiga club(kwa sauti ya Chakorii )
Halafu bado hapohapo Eti wanatupima !
Wanachopima Sasa ndio kinachosha ziaidi..eti wanapima kuvumilia shida.
Yaani umasikini unafanya Watu waone kuvumilia shida ni sifa na ndio mapenzi.!
Wanawake wanaovumilia shida na kupimwa kama mchele mwee Wana kazi ngumu duniani!
Kazi ya kuutafuta ufalme wa Mbingunii,na kazi ya kuvumilia vipimo vya shida vya Watu..aloo