Selfika na JF: Snap it. Show it

Si ndio hapo sasa. Mungu atupime na binadamu nao tuanze kupimana kisa ndoa yaani mtu anataka kufanya ndoa kama ufalme wa mbinguni.
 
Jf hakuna bhana
 
Mbona ni kama mabaya yote umeyasokomezea kwa wanawake kana kwamba wanaume ni innocent? Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume ndiyo wana mapenzi ya kweli na kwamba wao hawademand vitu vingi toka kwa wanawake?
 
Endelea na moyo huo huo hata utakapooa mkuu. Wanawake wote waone kama wanaume wenzio utulie na huyo mmoja tu na utabarikiwa.
 
Si ndio hapo sasa. Mungu atupime na binadamu nao tuanze kupimana kisa ndoa yaani mtu anataka kufanya ndoa kama ufalme wa mbinguni.
😁Let's end it here..
Ujue ndoa ni kama taasisi, unapokwenda kuomba kazi kwenye taasisi yeyote,kampuni yeyote lazima wa ku jaribu..
Same na ndoa , kusema anayejaribu ni mungu pekee, nah! Sikubaliani nalo, kwenye ajira tu tunajaribuwa itakuwa ndoa..

Anyway 😊 sio mbaya kujadili na kila mtu kutoa mawazo yake, tusifanye iwe very sensitive.. pia tusichukulie personal

Thanks Karma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…