Wanawake wanaoweza kuyavumilia hayo maisha ndiyo wale ambao hawapendi kuwapikia wala kuwafulia. Kwahiyo ni ninyi tu kuchagua mtavumilia kipi maana hakuna mkamilifu chini ya jua.Suala la msosi ni ugali mboga za majani, tukila vizuri saaaana ni ubwabwa maharagwe[emoji23][emoji23], nyama w'end 2 per month.
Tunapanga uswahilini
Lotion ya bei nafuu, American dream utakuwa unaisikia tu[emoji16]
Kusuka kwa bei nafuu once per month
Ukiniomba pesa nakusubirisha siku 3.
Out ni kwenda beach[emoji23] kupunga upepo na kurudi..
Shopping ni nguo za bei nafuu kwenye mnada
Maisha yatasonga kwa miezi mi 3[emoji16], siku moja natoka kazini nakuta kufuli inanizomea, kufungua kuna kikaratasi mezani babe maisha yamenishinda, hata ngozi yangu imefubaa, nimeamua tuachane..... [emoji26]
Nachukua simu nakupigia babe nilikuwa nakupima tu kama utavumilia siku nikiwa down, ukweli ni kwamba haya maisha yalikuwa maigizo
Lazima afeli hapo sijui kwaniniSuala la msosi ni ugali mboga za majani, tukila vizuri saaaana ni ubwabwa maharagwe[emoji23][emoji23], nyama w'end 2 per month.
Tunapanga uswahilini
Lotion ya bei nafuu, American dream utakuwa unaisikia tu[emoji16]
Kusuka kwa bei nafuu once per month
Ukiniomba pesa nakusubirisha siku 3.
Out ni kwenda beach[emoji23] kupunga upepo na kurudi..
Shopping ni nguo za bei nafuu kwenye mnada
Maisha yatasonga kwa miezi mi 3[emoji16], siku moja natoka kazini nakuta kufuli inanizomea, kufungua kuna kikaratasi mezani babe maisha yamenishinda, hata ngozi yangu imefubaa, nimeamua tuachane..... [emoji26]
Nachukua simu nakupigia babe nilikuwa nakupima tu kama utavumilia siku nikiwa down, ukweli ni kwamba haya maisha yalikuwa maigizo
We si ulisema unahitaji true love😂, unajua maana ya true love? Huko si kukomeshana, hio ni interview tu kuhakikisha je? Siku nikianguka utakuwa nami? Siku nimeugua maisha yametupiga utakuwepo kuniliwaza na kunipa moyo?Kama umeamua kufanya hivi na pesa unayo na ukaamua tufunge mkanda ili mambo fulani yaende(mf.ujenzi, uwekezaji) hamna noma kwa sababu ni suala la muda tu lkn kama ni kukomeshana sio poa😀.
My brother alipata mchumba, dada mmoja asili ya ki Asia, nilichoandika hapo mkuu tuliki practice in real life nakupa true story kabisa..Lazima afeli hapo sijui kwanini
Ahsante,Pole sana
Hilo linaitwa chujio la chuma😂Wanawake wanaoweza kuyavumilia hayo maisha ndiyo wale ambao hawapendi kuwapikia wala kuwafulia. Kwahiyo ni ninyi tu kuchagua mtavumilia kipi maana hakuna mkamilifu chini ya jua.
Aisee hi michezo imerudi sanaAhsante,
Yaani,wanazima,wanawasha kama wamepagawa vile.Wanakera lakini basi tu.
Kwa spidi ya mwendo kasi[emoji23],wanakeraAisee hi michezo imerudi sana
Tumewaachieni nchi, kazi kwenu😁Kwa spidi ya mwendo kasi[emoji23],wanakera
Hahaha usiwawaze bana wasituzingue kabisa.Mhhhh....🤔😏
Embu ngoja kwanza ni-digest ushauri wa kina Chakorii Saint Anne & Tinsley japo I don't agree with their perspective on the matter.
Hivi saa nne hii wamekata zaidi ya mara tano,hivi sasa tupo kiza tu[emoji23],Tumewaachieni nchi, kazi kwenu[emoji16]
Itakuwa ni matengenezo, yote hii ni kuwepo kwa kampuni moja tu la umeme.Hivi saa nne hii wamekata zaidi ya mara tano,hivi sasa tupo kiza tu[emoji23],
Sadly, kuweza kumvumilia mtu kwa shida doesn't guarantee mta-last long 🥴🥴My brother alipata mchumba, dada mmoja asili ya ki Asia, nilichoandika hapo mkuu tuliki practice in real life nakupa true story kabisa..
Jamaa ndiye alileta wazo kwa sababu anataka kumuoa huyo binti baada ya mahusiano ya uchumba..
Akanishirikisha nikamwambia haina shida😀 ni wewe tu..
Jamaa akanikabidhi funguo za gari zake 2, akamficha mchumba wake kuhusiana na status halisi aliyokuwa nayo, alimwambia gari ameuza kulipa madeni..
Walikwenda kupanga uswahilini, yule dada alikuwaga amezoea ku drive akaanza kupewa nauli kwenda chuoni, at the time alikuwa mwanafunzi anajiendeleza..
Dada kapambana sana na daladala😁, akirudi maskani ni hadithi za vituko vya kwenye daladala, basi bwana ukapita mwezi, jamaa alikuja kunieleza kwamba imetosha anaona kafaulu tayari, nikamwambia pambana na hali yako, funguo sikupi tumekubaliana miezi mitatu we mwezi mmoja tu unaanza kubadili mawazo, jamaa akanambia anamuonea sana huruma😂..
Mzee wa kushauri nilikuwa nimesimamia msimamo wangu, nikamwambia sasa anza na kumuomba pesa kabisa😂, mwambie upo broke mbaya😂
Jamaa akasafiri kwenda mkoa flani kikazi, huko akawa anampigia mchumba wake simu kwamba hali ni mbaya, hana pesa ya kula, dada anatuma pesa, jamaa anamuuliza umeiotoa wapi? anasema mama alinipatia nikatunza..
Life likasonga, mwezi wa pili, mwezi wa 3, binti alifaulu ule mtihani hata mie sikuamini kabisa😁, niliweka msimamo kwa sababu huyu msichana nishazinguana nae, angefeli ingekuwa fresh tu kwangu.., angefaulu pia ingekua fresh cause bro angekuwa amepata mwanamke sahihi..
Nilimkabidhi jamaa funguo zake akiwa na furaha kinoma, ndoa ilifungwa wiki chache baadae, siku hio nilicheza mziki ukumbini mpaka watu walinishangaa😂..
Na mie nilijipiga siku hio nikawapatia zawadi ya fridge, ngoja niangalie picha kama ipo kipindi natoa zawadi niiweke..
Basi ikawa hivyo, jamaa alinushukuru baadae, wakawa mke na mme..
Mi sio mwandishi mzuri..
Mkuu hii sio hot tea, hii kitu imenitokea na nimei practice kabisa..
Wapo kwenye ndoa miaka michache sasa, wana 2 beautiful daughters na life linasonga..
🤗🤗Hahaha usiwawaze bana wasituzingue kabisa.
Nipo sehem nakuzaa
Ni kweli lakini usi take risk pasipo risk management..Sadly, kuweza kumvumilia mtu kwa shida doesn't guarantee mta-last long 🥴🥴
Hahaha usiwawaze bana wasituzingue kabisa.