Selfika na JF: Snap it. Show it


 
Hata mimi kuna wakati nakuwa singali kuna wakati nakuwa dabo mule mule inategemea niko mazingira gani tunaishi nao.kiukweli niko singo jaman 🤣🤣🤣
Na mimi ngoja nianze kuchange according to mazingira,
jukwaani hapa selfika nipo dabo,,pm watu wanakuja kuniuliza kama kweli nipo dabo,,,kuna muda nawajibu nipo dabo kweli,kuna muda nawaambia nipo singo.
Sitabiriki yaaani....tutapigana tu kamba jamani huko pm😀
 
Wewe sema tu kweli, usije ukapishana na muujiza wako. Kuna gentleman nimemsukumia huko PM kwako
 
Dadeq😂
😂😂😂😂

Kumbe betting zipo hadi humu..

Ila Pm kuna mengi😂
KATIKA MATUKIO YOTE YA PM,HAKUNA TUKIO LILINIKATA MAINI KAMA LA KUTONGOZWA NA DADA MSAGAJI TENA NA SELFIKA YUPO.
NILIKEMEA LILE PEPO MWEZI MZIMA😂
 
Sasa tusemeje jamani

Mmefungwa tena kizembe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumekubali kufungwa, but tunajipanga kwenye Shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…