Selfika na JF: Snap it. Show it

Well said .
Privacy ni muhimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli umemenena vizuri .
Hata ningekuwa mimi nisingeweza kutaja.

Mambo ya kumtangaza mtangaza mtu baadaye kitumbua hutiwa mchanga[emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ngoja nimtaje wa kwangu; kama anakujaga PM kwenu kuwadangia mniambie. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi ngoja nimtaje wa kwangu; kama anakujaga PM kwenu kuwadangia mniambie. [emoji38][emoji38][emoji38]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie mimi nimekumbuka kumbe tayari nilishamtaja,
Ni Palladino jamani,,,kama kuna mchepuko wake huko utapambana na hali yake😁

Wako ni yupi?
isije kuwa ashanipiga verse pmπŸ˜‚
 
Maonyesho si mazuri kabisa.

Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabia😁😁😁lakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.

Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mbogaπŸ˜‰kho kho kho kikohozi kimenibana sana😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…