Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana, siku hizi kuna usafiri gani kwenda bariadi town, nikiachaga kuna baiskeli tu, halafu ile bank ya CRDB pale mjini kati ipo
..

Nitakuja unitembeze mkuu
Haha...we jamaa bhana eti uliachaga usafiri wa baiskel tu.

Usafiri upo mwingi sana

Kuna Baiskel

Kuna pikipiki(bodaboda)

Kuna tax

Kuna bajaji

Kuna usafiri wa fisi

Bank ya CRDB bado ipo
 
Haha...we jamaa bhana eti uliachaga usafiri wa baiskel tu.

Usafiri upo mwingi sana

Kuna Baiskel

Kuna pikipiki(bodaboda)

Kuna tax

Kuna bajaji

Kuna usafiri wa fisi

Bank ya CRDB bado ipo
😂😂😂
Fisi tena mkuu..

Bariadi pazuri napakubali, walete sasa na Hiace route ya kwenda town, wafanya biashara hawaoni hio fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…