Usipost mwaya eeeh kama babe hatakua comfortable. Sisi ni wapita njia tu humu, uki post au usipo post hamna kitakachobadilika.
Ila ukapost halafu babe wako akaku mind ni kitu ambacho utajutia kwa muda na sisi wala hatutajua wala hatutajali. Msikilize babe wako na anavyokupenda anakulinda na mafisi eti.