Sasa kama siyo dikteta kwanini umuadhibu mtu kwa uhuru uliompa? Yaani ni sawa baba amuambie mwanaye achague kuenda shule au kuwa jambazi halafu akichagua awe jambazi amuadhibu wakati alimpa uhuru wa kuchagua sasa kama hakutaka mwanaye awe jambazi si angesema aende shule tu?