Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Marehemu Mitimingi alisema hivi;"mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia ambayo ni nzuri,na si kufokewa"Ila kuna mambo yanatia hasira mno kama usaliti n.k ..
Hapo chanzo cha ugomvi ndo kinapelekea kipigo .
Oleweni muupate ufalme wa Mbinguni jamani
Nimegonga mohans na chapati 😂 kwani kwa pembeni pale hujaona?That breakfast😍😋
Em jitreat na Robertson, utasahau yote i assure you😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] ndoa sio ngumuDuh ndoa kumbe ni ngumu jamani!
Nimestushwa na kelele za vipigo,nyumba ya jirani wanatwangana hatari ..mwanamke anapigwa na bado anaongea huku analia,mara utaniuwa,mara nipige.
Ameachwa ndio anapaza sauti zaidi..sasa hivi nasikia "nipigee"
ana sauti Kali aisee[emoji119]
Sequa maji mazuri sanaUmemisika View attachment 1968668
Umekula alone ukakimaliza?Leo nimeamka na vibe la mvinyoo. Shoshoo uniombee 😂 Lenie siku iishe salama si unajua 🤣🤣View attachment 1973762
kuwa uyaoneUsipokuwa na mdomo nina hakika hakuna ME mpigaji, unless awe mlevi wa kutupwaa
Ndoa ni nzuri ukipata mtu anaejua wajibu wake kama mme au mke
Unadhani wao hawajui wajibu wao?Ndoa ni nzuri ukipata mtu anaejua wajibu wake kama mme au mke
Well said ,Marehemu Mitimingi alisema hivi;"mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia ambayo ni nzuri,na si kufokewa"
Hata kama ni kweli ana kosa..ukimfokea unafyatua kichwa chake .
Kikishafyyatuka lazima akufyatue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua sijaona aisee, umeianzia asbh ash siku itakua nzuri sana leo😃Nimegonga mohans na chapati 😂 kwani kwa pembeni pale hujaona?
Ndio yamezidi 🥴
Yana ladha nzuriSequa maji mazuri sana
Wengi wamekuwa wanajisahau lakini ndoa ni tamu ukipata mtu anae jua wajibu wake kama mme au mke
Kwel kabisa👏Wengi wamekuwa wanajisahau lakini ndoa ni tamu ukipata mtu anae jua wajibu wake kama mme au mke
[emoji482]Kwel kabisa[emoji122]
Ukiwaona leo baadae sasa watakapo kuwa wanacheka na kutembea pamoja utafikiri jana hawajatwangana, ndoa ikiwa na mwanamke mwenye makelele aisehh ni rahisi sana mwanaume kutandikaDuh ndoa kumbe ni ngumu jamani!
Nimestushwa na kelele za vipigo,nyumba ya jirani wanatwangana hatari ..mwanamke anapigwa na bado anaongea huku analia,mara utaniuwa,mara nipige.
Ameachwa ndio anapaza sauti zaidi..sasa hivi nasikia "nipigee"
ana sauti Kali aisee[emoji119]
Chapati za maji 2? Kasoseji kamoja na huto tuviazi jamani?Umekula alone ukakimaliza?
Nimeshakuwa dada. Nimeona mengi eti 😂kuwa uyaone