kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Duh, mimi sisemi mambo mengi lakini naweza tumia picha kwa matumizi yangu binafsi? 😎 😉
Thank youGorgeous
Naona test ni ileile tu tofauti kuyumba, za kitaa zinayumbisha zaidi labda sababu ya joto.Duh, Hadi Henken tofauti na za huku kwetu kwa waa vumbi.
Sana yani.....it's kind of unbelievable sometimes!Kumbe kwa Zanzibar jua likiwa linazama kunapendeza sana, ni maeneo machache unaweza kuona sunset ikipendeza hivyo...
🤣🤣🤣Duh, mimi sisemi mambo mengi lakini naweza tumia picha kwa matumizi yangu binafsi? 😎 😉
ila zile ID zangu nyingine kama vile ID ya Chura zilikuwa hewani!😁😁😁Pole sana
Ulikosa nini we mzee ya chura?
Ni kule kwenye jukwaa la siasa.Nilitumia haki yangu ya kutoa maoni nikasema kuwa kuna kiongozi fulani wa nchi hakuna cha maana anachofanya,yuko tu busy kuzurura hovyo kama yale Mapaka yasiyofugwa.Nikaishia kuzibwa mdomo kwa siku saba!😁😁😁Ulikosa nini we mzee ya chura?