Selfika na JF: Snap it. Show it

Haaaa bora ije bila kujua

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Tunywe bia huku tukijiandaa rohoni..
Hatujui siku wala saa .

Kifo huja kama mwivi.

Kama mtu angelijua ile saa ambayo mwizi anakuja kuiba,angelikesha muda wote akimngoja.
Sasa relate na kifo...kinakuja ghafla,saa usiyoitegemea..kama mwizi vile,kinavizia.
 
Kwann tulizaliwa?ili tufe?Nini maana ya maisha?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Kwann tulizaliwa?ili tufe?Nini maana ya maisha?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Umeumbwa utawale dunia na vyote vilivyono.
Hilo ndilo lilikuwa kusudi la MUNGU kutuleta duniani.

Huku kote tumefika Kwa sababu ya anguko la mwanadamu katika dhambi .

Lakini MUNGU ni mwaminifu,akaturejesha tena kwa njia ya Kristo..
Tunapata tumaini la uzima wa milele.
Na hatuwezi kufika huko pasi na kupitia hatua zilizopo.
 
Kwann aliruhusu anguko la Adam?ilihali yeye alijua litatokea?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…