Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Wahi mapema mkuuIlo kubwa kubwa langu
Wahi mapema mkuuIlo kubwa kubwa langu
My concentration ni kwenye "chakula cha mtoto" tu

Mkuu ukiandika muda kwa mfumo wa 24HRS huwa haina haja ya kuweka AM wala PM. Kwa sababu kwa mfano hapo uliposema 15:52 tayari unakuwa umeshatofautisha saa 9 ya alasiri (3:52PM/15:52) na saa 9 ya usiku (3:52AM/03:52).
Nashukuru kwa kunirekebisha,Kiingereza kimekuja kwa meli kwahiyo michapio kama hiyo wakati mwingine haiepukiki,Tumuachie lugha yake Borris Johnson.Mkuu ukiandika muda kwa mfumo wa 24HRS huwa haina haja ya kuweka AM wala PM. Kwa sababu kwa mfano hapo uliposema 15:52 tayari unakuwa umeshatofautisha saa 9 ya alasiri (3:52PM/15:52) na saa 9 ya usiku (3:52AM/03:52).
Kwahiyo haikuwa na haja ya kuweka hiyo PM. Muda kwa mfumo wa 24HRS huandikwa 15:52 au 1552HRS.
Ilikua mwaka gani, na solomon alinyongwa kwa kosa ganiBEFORE HE WAS HANGED
South Africa's Solomon Kalushi Mahlangu said;
"My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight, Aluta Continua"View attachment 1971583
Seems you were good at Geography especial yale maswali ya masaa kwa kuzingatia locations (eastings and Northing). Kama hautajali nikuletee mia 2 mbili zangu unipigishe pindi kama la Mchikichini enzi zile 😜😜🤸🏽Mkuu ukiandika muda kwa mfumo wa 24HRS huwa haina haja ya kuweka AM wala PM. Kwa sababu kwa mfano hapo uliposema 15:52 tayari unakuwa umeshatofautisha saa 9 ya alasiri (3:52PM/15:52) na saa 9 ya usiku (3:52AM/03:52).
Kwahiyo haikuwa na haja ya kuweka hiyo PM. Muda kwa mfumo wa 24HRS huandikwa 15:52 au 1552HRS.