Selfika na JF: Snap it. Show it


😁😁😁😁

Ngoja nifanye mipango yangu kimya kimya....ukija shtuka, manyoya haya hapa πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Embu jaribu kunidukua na mimi nihamasike kurudia ujinga nlowahi kuufanya zamani in retaliation [emoji16][emoji16][emoji41]

All in all, lawama mpe NDINDA ....angepiga kimya haya yote yasingetokea.[emoji57][emoji57]

Kwani nimeharibu wapi [emoji1787].
 
Naoma Mambo uliyofanya jana yamekalika[emoji41] na umeleta mahala pake tuanze kuburudika[emoji1787].
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Naomba nirudishie hela yangu maana utabiri wako sio kabisa. Just went to pick something up...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…