Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilivaa kitichaticha[emoji23],kama wale maticha wa mama wa zamani zamani wale.

Ila mimi ningekuwa mwalimu wanafunzi wangu wangepata kazi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilijisemeaga kbs, nkiwaa ticha wanafunz watafurah San, maan stakag stress mie n kuwaacha tyuuh wafanye wanavotak, JAH akaona mmh ntabug step, nmeangukiaa kwingneeee. Lol
 
Mimi nina hasira za karibu..
Ningenyoosha mno watoto wa watu.
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom