Nimwachie nanii mamiii?
Kumbe hujaacha bia!
Ugali uko wapi sasa...mboga inavutiaa daaa
Post tuone mkuu.Nilitaka kupost screen time yangu nikagundua nimefanya mambo ya Hovyo siku nzima![]()
🙂
Niliwahi kufika pia....😁😁Naona upo Front seat unakula tu view![]()
Kapo poa mnoo kanalindwa na YESUKamekua kawajina.
Wajina anasemaje?
🙂, its my work na nimependa...🙂
I did but my battery was low...nikasema nikirudi online ntakuuliza if it's your work au umependa tu.