Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,238
Malizia jinaThe bosslady herself..Atupele





Katika pita pita zangu huko nasikia ally alinyimwa utamu na dada wa taifa, hivi king anaweza kuwa na skendo na yule filimbi ya taifa





Nipo babuuuh.Nakuona mjukuu











When I call on me,
When you reach for me
When i hear u breathe.
I get wings to flyView attachment 1967982View attachment 1967983
I get wings to fly,God knows that I'm alive![]()



Shida mange hakuna kitu ataacha kuongea hata ukimsisitiza asiongee
Shida mange hakuna kitu ataacha kuongea hata ukimsisitiza asiongee



nimesoma ile press ake, yaan yule ni chizi wallah khaaah.Fav words, 4rm fav song,




Sioni kitimoto


Na mimi natafuta mchumba haiwezekani watu mle raha wenyewe tu,No body wanna see us together but it don't matter know ,
Cause i got you baby
Akon ..Old is gold.View attachment 1968006
Hit track of all time

Mboga Saba
Hapa unashiba au unapunguza njaa?
Kiba nachompendea zaidi kama fan ni kutokua na skendo sasa kumtaka filimbi ya taifa atajichafua sasa hivinimesoma ile press ake, yaan yule ni chizi wallah khaaah.
Mie cjaamin, nahis mange muongo tyuuh lol.Kiba nachompendea zaidi kama fan ni kutokua na skendo sasa kumtaka filimbi ya taifa atajichafua sasa hivi



Mie cjaamin, nahis mange muongo tyuuh lol.![]()
Anasema alienda mpaka hoteloni 


wakalala lakini hakumpa

