Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Nataka ugonge desperado
Mie nakunywa redds
Mie nakunywa redds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajavaa kizibo cha asaliSitaki kutafuta matatizo na mtu.... Sitaki maswali [emoji84][emoji83][emoji84]View attachment 1223501
Pampula kunywa haraka haraka basi ili usahau.
mko wapi nije?
Halafu ongeza na ulivyo mbishi......hehehehe wakaka watamu watamu kama hawa utaishia kuwaita shemeji
Namtafuta tumalizie weekend
Simuoni kabisa
siyo huyu yule niliempost hapo juu
Kweli umeacha pombe siku hizi unakunywa bia tu. Sasa huwa unawezaje kuruka ukuta wakati ushawaka? Au una pa kulala leo[emoji1787][emoji1787]Hahaha kwenda zako...nataka nihamie kwenye k vant,leo nataka kuwaka mapema
nakuja hapoBaadae nitakua 5n ya temboni
Ndo kusema nini eti mdau
nakuja hapo
Ndo kinini mkuuNataka ugonge desperado
pouwaUtanichek
najuaga mnataka ME wazuriwazuri tu nashangaa hapa uko kinyume
DMmh anaitwa nani? Taja herufi ya kwanza
Ooh okay..nilikua sijakusoma bado
Kweli umeacha pombe siku hizi unakunywa bia tu. Sasa huwa unawezaje kuruka ukuta wakati ushawaka? Au una pa kulala leo[emoji1787][emoji1787]