Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,221
basi katika mia utapata asilimia 20%.Hahaha cha msingi si jibu liwe sawa jamani au?
basi katika mia utapata asilimia 20%.Hahaha cha msingi si jibu liwe sawa jamani au?
basi katika mia utapata asilimia 20%.
wewe kama mwanafunzi ulitakiwa utoe majibu yako hats ungekosa ningekupa marks.. wanafunzi mnaoigia huwa nawacharaza mboko.Mwalimu hiyo sio fair; kosa ni la kwako kuvujisha pepa
wewe kama mwanafunzi ulitakiwa utoe majibu yako hats ungekosa ningekupa marks.. wanafunzi mnaoigia huwa nawacharaza mboko.
sasa hapa si ulitakiwa ukokotoe kuhusu picha?Ila mwalimu kwenye pepa unaandika tu jibu: hauulizwi jibu limetoka wapi, unless ni swali la kukokotoa ndiyo utaonesha njia
Khaaa mwalimu jamani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]sasa hapa si ulitakiwa ukokotoe kuhusu picha?
Nyoosha mkono unanichelewesha binti. [emoji853][emoji853]
Obviously ni #SUNSETGuess the time.. Nimepiga saa ngapi kuna 10k
View attachment 1956369
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Kiuno nyigu [emoji23][emoji23][emoji23]Yellow [emoji169]View attachment 1956162
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
Haya matangazo duh! Halafu mtu unakwenda na muujiza hupati [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiendelea kula hivi Dar itakukubali mno utafumuka sasa hivi ohoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mwaka huu hakuna timu hapo. Ni utopolo skweadi [emoji16][emoji16][emoji16]
Vikuku vyanimaliza jaman daaa
At your own riskView attachment 1956930
We jamaa hivi Uko Arusha ama umesharudi Zenji?