Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani eeeh,Ningekunywa mirinda nyeusi za kutosha[emoji41]
unaona nyuma ya hio glass kubwa ya shemejio, kuna glass yangu ya bia
nimemtoa leo jioni ili asinilaumu, huu usiku ni wakati wangu wa kufanya vurugu zote sipendi awepo

20210924_203139.jpg
 
Bibi yangu wallah n fund wa kupika uwiiih, babuuh had anasahau michepuko yake, hasa yule wa makao makuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Koma wee mtoto[emoji3]pishi langu hilo loh![emoji23]
 
Back
Top Bottom